SEI Enterprises ni kampuni ya Kitanzania iliyoanzishwa na kijana Mtanzania mwenye maono makubwa yasiyoonekana kwa uono hafifu; yenye makazi yake mkoani Singida Lengo kuu la kampuni hii ni kuzitambua,kuzichambua, kuzitathimini, kuziweka wazi mbele ya umma na kuzitumia fursa mbalimbali za kiuchumi kwa ufanisi na ufasaha ndani ya mazingira yetu ya Kitanzania hususani mkoani wa Singida na kisha nchi nzima ya Tanzania na Ulimwengu wote.
Kampuni hii ina mikakati ya kupunguza matumizi ya maneno kwenye maendeleo na badala yake kutumia vitendo zaidi na kubadili mtazamo wa watu wengi wanaoishi kwa mazoea na mitazamo mgando na kutoa njia mbadala kwenye maisha na kuwafanya watu watumie fikra tunduizi na uthubutu wa papo kwa papo katika kutengeneza maisha yajayo leoleo na sio kusubiri kesho au wakati sahihi.
Pitia ukurasa wetu kila siku kupata maarifa na taarifa za kiuchumi biashara kazi na mambo mbalimbali yenye manufaa lukuki duniani.
OUR VISION IS INVISIBLE 😎
AND
OUR MISSION IS IMPOSIBLE💔

Anuani:
Nyumba ya Nyuki,
Mtaa wa Kimpungua,
Singida-Tanzania
Simu:
+255-759 282 894
Barua pepe:
huduma@seisoko.com
KARIBU TUKUHUDUMIE